heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Watanzania tuwe tunam-crush mtu positive vitu tunavyoongea humu ata mwenyewe hata ona la kujifunza and still mnalalama musiq industry ha-improve,most of you ni jealous yani siku hizi wanaume wanawaonea wivu wanaume wenzao kisa wamewazidi kitu flani,hadi wanawake nao wanwaonea wivu wanaume.
Hamfikilii,hamjui wala hamtaki kujua kahangaika kiasi gani mpaka hiyo video kafaniksha,nakumbka diamond alikuwa halali anakesha akiwasiliana na watu wa South afrika kufanya booking ya location,kuweka booking ya private jet na boat,hakupanga atumie fellari but gari zaidi ya hiyo but nying zilikuwa ready taken.
Kafanya maandalizi ya video mwezi mzima na kafanya yote hayo akiwa kwenye mfungo pasipo kula , mna-focus on the last
line,forgettin about the hard work he had put on,mamilion aliyo envest pale.
Wanigeria wasingekuwa hapa walipo kama wangekuwa wanashoot video za million 2 au 5 ziszo na kiwango na huwezi pata kitu kizuri kwa gharama ndogo ndo maana hakuona hatari ku-invest million 50 kwa video tu kwasababu anajua faida yake huko mbeleni.
Analenga soko la kimataifa na si East Afrika pekee,afu leo mtu anaponda tu licha ya ukweli ulio wazi kuwa hakuna mtanzania pengine EA nzima alowahi kushoot video ya kiwango kama hii.
Tembeleeni youtube muone coments za raia wa nje kuhusu number 1,tembeleen site za nchi jirani muone wanavyoiongelea ila sisi watanzania sasa!
Watanzania tubadilike,hata kama tunakua na wivu kiasi hicho tujitahidi tu kupenda na kukubari vya kwetu.
Diamond u r a true DEFINITION OF MUSIC SUCCESS IN T.Z..U know what u'r duing.
SITETEI OR SIONGEI COZ HE IZ MA C.E.O or wot,naongea kitu cha kweli kinachoeleweka na haters sjui mtafanyeje mkisikia ORODHA YA MIKAKATI NA MIPANGO MIKUBWA YA KIMUZKI ALIYONAYO/ANAYOTARAJIA KUIFANYA .
WCB for life.