Kwa wale wenye mtizamo negative kuhusu wimbo/video ya diamond

Uyo dyna na baba levo ni baadhi ya walalamishi wa tanzania hii.. wanaacha kufanya kitu cha maana wanasubir kulalamika.. hta hasingewaibia wasinge shine na izo beat. Daimond hataimba zote lakin wimbo wa kesho unanizuuza roho kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…