madame agnes
Member
- Aug 16, 2016
- 30
- 12
Kwa wale ambao nywele zao zinakatika au unataka kuimarisha tu nywele. Chukua kiini cha yai changanya na asali. Osha nywele zako kisha paka hii mask, kaa nao kwa muda wa dakika 30 hadi 40 kisha osha nywele zako. Hii ni kwa aina zote za nywele zilizotiwa dawa na nywele za asili