Kwa wale wenye ufahamu kuhusu elimu ya juu

Kwa wale wenye ufahamu kuhusu elimu ya juu

Mchundo

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
40
Reaction score
51
Habari ndugu,
Naomba msaada kwa wale waliosoma nje ya bongo hasa kwa level ya digrii na kuendelea pia hata wale waliosomea hapa nchini.
Serikali na baadhi ya organisations zimekuwa zikitoa scholarships kwa undergraduates ambazo nyingi zinahitaji mwanafunzi kujifunza kwa lugha tofauti na kiingereza zikiwemo kirusi,kireno,kihispaniola na kichina.
Kumekuwa na maneno ya kuwa eti mtu akisoma tofauti na english watu husema akirudi kufanya kazi nchini anakuwa shallow.Maneno hayo yananitisha hata mimi kutafuta hizo nafasi.
Kwa wale wenye ufahamu;naomba mtueleze maneno hayo yana ukweli wowote?Pia nini faida na hasara ya kusoma nje ya bongo hasa kwa fani za sayansi?
Karibuni kwa ushauri.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom