scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 328
Umeshaambiwa vipimo n 60*60 tailes bei kutokana na vipimo ndgLeta picha, ndo tutakua thaman ya tiles
Ubora pia mkuu si vipimo tu zina grade tuma picha wanaojua wakuambieUmeshaambiwa vipimo n 60*60 tailes bei kutokana na vipimo ndg
Huyo fundi akisema alimwibia bosi wake kwani kuna shidaAsee kuna fundi wa tailes baada ya kufanya kazi kapewa mabaki ya tailes 60*60 kama sehemu ya malipo yake anapatikana hapa Mwanza sasa anataka kuniuzia kwa bei pungufu ya 30000/= box ambapo zimo piece 4.
Niulize wadau wanaojua bei halisi hasa kwa hapa Mwanza nikinunua kwa bei hio ntakuwa nmepigwa au vip. Tailes zina maua mazuri. Mimi sio mzoefu ningeenda kuuliza dukani lakini ni mbali kidogo.
Nawasilisha anaejua bei halisi ya dukani aniambia au kunishauri