wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY)
Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b
ei rahisi halafu hawacheleweshi wateja maana wanawafanyakazi wa kutosha
Njoo pia usafishiwe taa za gari yako kwa njia ya kisasa kabisa,usihangaike kuingia gharama zisizo na sababu maana njia zipo za kuzirudisha taa zako kwenye ubora wake
Call/WhatsApp 0745142197