Kwa wale wenzangu tulio na ndoto ya kua mabilionaire kwa kufanya biashara tukutane hapa kwa ushauri

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Jamani kwanza napenda kuwasalimu wote na matumaini yangu ni kua nyote mu wazima.

Bila kuwachosha nataka nijikite kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba tangu nikiwa mdogo nimekua na ndoto ya kuja kua bilionea japo maisha yangu nimepitia changamoto nyingi na mpaka sasa bado naisoma namba licha ya kubahatika kupata ka elimu kakizushi ngazi ya degree lakini life still bado alipo fair na mimi kitu ambacho huwa kinanitia uchungu sana.

Najiona kama mtu aliyekufa na sasa nataka kufufuka nataka kurudi kwenye misingi na ndoto yangu, nataka kua bilionea wa kwanza kwenye ukoo wangu, ninatambua inshu ya kua bilionea sio mchezo kwani mabilionea wengi wana michezo yao nyuma ya pazia, ndio mahana leo nataka raia wote wenye mawazo na ndoto kama zangu tupeane A B C za kuweza kufikia ndoto zetu.

Ni muda muafaka wa sisi vijana kumiliki uchumi wa nchi yetu, tumechoka kuona mabilionea wa kihindi na kiarabu uku sisi ngozi nyeusi tumebakia kuwa vibarua tu, karibuni wadau.

In god we trust😈😈😈
 
Good idea....ila wachangiaji hatutakuwa serious
Wabongo wamezoa kusikia maneno matamu kutoka kwa mamotivation speaker, inshu za kuanza na kuku watano then bahada ya mwaka unakua na kuku buku wanadhani life ni kuteleza kama upo mlima kitonga.

Kumbe unatakiwa kua na roho mbaya pamoja na uthubutu ndio uweze kutoboa
 
Km umeamua kufanya deal ya magendo hakikisha inalipa kweli

Sio million 2 kwa mwez una risk future yko

Deal moja ikupe milillion 20 hivi na kwa mwaka fanya deal tano tu

Sio videal vya million 2 hamsini lazima utadakwa soon tu
 
Billionaire kwa USD hapo ushafeli labda ukaze kwny madafu
 
tatizo mada yako haywez kujadili hazalani....maana watoto wa magu wapo kaziniii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…