Kwa wale wenzangu tunaotuma sms, email WhatsApp na kukosea kosea, tumia njia njia hii kuhariri kabla hujatuma

Kwa wale wenzangu tunaotuma sms, email WhatsApp na kukosea kosea, tumia njia njia hii kuhariri kabla hujatuma

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
338
Nimewaza na naona ni rahisi kuzuia message yako isiende kabla hujaihariri.

Ni rahisi. zima Data kwenye simu yako, kwenye ama mtandao mwingine wwt hakikisha hatuna connection/ hakikisha upo offline.
 
Nimewaza na naona ni rahisi kuzuia message yako isiende kabla hujaihariri.

Ni rahisi. zima Data kwenye simu yako, kwenye ama mtandao mwingine wwt hakikisha hatuna connection/hakikisha upo offline.
Ushauri wako haueleweki.nazima data wakati gani? Wakati naandika huo ujumbe au wakati nimeshakosea na kuutuma???
 
Back
Top Bottom