Kwa wale wliowahi

Hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, BF au GF hali inakuaje hapo? uasilia wa tukio la fumanizi



Mh, swali gumu kwani watu tunatofautiana,lakini kwa upande wangu mi huwa mpaka najishangaa maana nakuwaga na mbio hata kama mfumanizi wangu ana mbwa basi mbwa hao huishia kunitolea macho tu maana hata wanikimbize vipi hawatanikamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…