Kwa wale wote tusiokua na bahati, tukutane hapa kupeana moyo.

k29

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
730
Reaction score
1,211
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huu ni uzi kwa wale wote ambao wanahisi wanagundu yaani no bahati.
Tiririkeni hapa na hayo magundu yenu.

Mimi binafsi sijawahi kupata demu mtandaoni, hili ni gundu kwangu.
 
Kutopata demu wa mitandaoni ni bahati njema wala si gundu maana mitandaoni kumejaa stubborn women na siyo wife material.

Usiamini ktk gundu maana kila binadamu ana bahati kama akifanyia kazi fursa anazopata.
 
Reactions: k29
Mimi sina bahati ya kuokota pesa
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huu ni uzi kwa wale wote ambao wanahisi wanagundu yaani no bahati.
Tiririkeni hapa na hayo magundu yenu.

Mimi binafsi sijawahi kupata demu mtandaoni, hili ni gundu kwangu.
Nimewahi kupata wawili facebookila.mmoj alikuwa.mteja wangu sema akanipenda mwenyewe
 
Bahati ni matayarisho yanapokutana na nafasi, kwa hiyo, jitayarishe vizuri, halafu kaa sehemu zenye nafasi nafasiya ulichojitayarishia.
Utaona hichokinachoitwa bahati kinatokea chenyewe.

Huwezi kufunga goli kama hujakaa karibu na goli unalotaka kufunga.

Waswahili walisema,mgaa gaa na upwa, hali wali mkavu. Hata cha kuokota ataokota tu.

Sasa huyo kitendo cha kugaa gaa na upwa tu kashajitengenezea mazingira ya kupata bahati ya kuokota kitu.

Sasa tunaolia hatuna bahati, tunajaribu vipi kujitengenezea mazingira ya kupata bahati?
 
Mimi sina bahati ya kupata pesa.
 
Kushindwa kufikia malengo ya mtihani wangu nilijihisi sina bahati
Ashukuriwe mungu kwani Nilijaribu MPAA kujiua
 
Nimewahi kupata wawili facebookila.mmoj alikuwa.mteja wangu sema akanipenda mwenyewe
Hebu lete stori kwanza tupitishe pitishe usiku

Ilikuaje ukatongozwa na hata kukataa ukaona huwezi?
 
Unajisomea kuanzia mwezi wa kwanza ili kuja kuukabili mtihani wa mwezi wa tisa.

Kisha unafaulu.

Huku kufaulu kulikotokana na maandalizi ndiyo bahati yenyewe?

Nashindwa kuunganisha kati ya maandalizi na bahati. Kwa watu wengi bahati hua siyo chaguo hauwezi kuchagua ni inatokea tu ghafla.

Wanaosema "Wish me luck" wanamaanisha "Wish me I get to prepare for this and wait for the right opportunity"?
 
Tena gundu hata LA lava lava nadhan linasubili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…