ngoogle JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 209 Reaction score 56 Aug 8, 2013 #1 habari wanajamvi, naomba kufahamu kama kuna dvd za vitabu vya kiswahili vya kufundishia yaani riwaya na tamthiliya na kama zipo zinapatikana wapi. Natanguliza shukrani tele,
habari wanajamvi, naomba kufahamu kama kuna dvd za vitabu vya kiswahili vya kufundishia yaani riwaya na tamthiliya na kama zipo zinapatikana wapi. Natanguliza shukrani tele,
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Aug 8, 2013 #2 Ngoswe,kilio chetu, mfalme juha! Hv vipo ndan ya Dvd vitafute.