Nimeona hii katika pitapita yangu online. Umefika wakatiwa kuhimiza ubunifu, ugunduzi na vyote vinavyokuja navyo kwa wanafunzi wetu kama tunataka kuwa na taifa lenye wanasayansi waliofundwa kutoka udogoni.
Hebu tembeleeni hiki kiungo na muanze kuhimiza vijana kushiriki. Naamini wapo wengi wenye uwezo, sasa platform imepatikana kuuonesha.