Obbyally mbasha Member Joined Dec 12, 2012 Posts 19 Reaction score 0 Feb 16, 2013 #1 Habari zenu wapendwa, mimi ni miongoni mwa walimu wapya grade 3 nimepangwa Mwanza wilaya ya kwimba kwa yeyote aliyopo Dodoma wilaya yoyote na anapenda kufanyia mwanza kama yupo tayari tubadilishane,
Habari zenu wapendwa, mimi ni miongoni mwa walimu wapya grade 3 nimepangwa Mwanza wilaya ya kwimba kwa yeyote aliyopo Dodoma wilaya yoyote na anapenda kufanyia mwanza kama yupo tayari tubadilishane,
S SANING'O LOSHILU Senior Member Joined May 19, 2012 Posts 144 Reaction score 11 Feb 16, 2013 #2 Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928
Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928
Obbyally mbasha Member Joined Dec 12, 2012 Posts 19 Reaction score 0 Feb 16, 2013 Thread starter #3 SANING'O LOSHILU said: Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928 Click to expand... nitajitahidi kisha nitakujulisha, wewe upo dodoma wilaya gani.?
SANING'O LOSHILU said: Aisee mi nimepangwa lakini ni bachelor na natamani sana kufanyia mwanza, kama vipi fanya mchakato kama itawezekana ikiwezekana get me via 0716082928 Click to expand... nitajitahidi kisha nitakujulisha, wewe upo dodoma wilaya gani.?