Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Jamani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae toka maeneo niliyotaja wa ngazi ya shahada kwenda wilaya ya ruangwa mkoa wa Lindi. Tafadhali sana aliye tayari a inbox kwa mawasiliano zaidi. Najua kuna watu wa Lindi au wanaopenda kufanya kazi Lindi watakua wamepangwa maeneo hayo. Kribuni sana