Kwa walimu wapya ngazi ya shahada; aliyetayari kwenda lindi-ruangwa; kutoka moro/singida(m)

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Jamani natafuta mwalimu wa kubadilishana nae toka maeneo niliyotaja wa ngazi ya shahada kwenda wilaya ya ruangwa mkoa wa Lindi. Tafadhali sana aliye tayari a inbox kwa mawasiliano zaidi. Najua kuna watu wa Lindi au wanaopenda kufanya kazi Lindi watakua wamepangwa maeneo hayo. Kribuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…