Kwa walio kwenye mahusiano nisaidieni na hili

Je huwa mnafanya nini ili kupunguza stress zinazojitokeza katika mahusiano yenu?πŸ€”πŸ€”
Only two ways up;

1. Kuwekana sawa na mpenzi wako uliyenaye. Lazima mkubaliane kutatua changamoto inayowatatiza

2. Kuachana naye. Kama njiia namba moja haitoleta suluhisho basi njia hii imalize mtiti wa fitna..

Wenzako huwa na side man. Kuna kijana anaranda randa kutafuta mwenza. Hebu mfikirie mshamba_hachekwi
 
Its raining anywhere my Dear
ukiona huelewi focus kwenye kujitafutiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…