tatizo ni pale mke anakuchagulia marafiki anataka kukutawala ukimdhibiti kwa hilo anakunyima unyumba mpaka ukubaliane na analolitake yeye wakati wewe unaona hayo haya wezekani.chanzo cha mgogoro ni nini hadi kunyimwa unyumba?
La msingi ni kutatua mgogoro uliopo kwani kunyimwa unyumba hakuwezi kutokea tu bila sababu,na kuweka mambo yote sawa kwa kujadiliana na adha unayoipata na kama tatizo likionekana lipo kwako au kwake ni kuweka mazingira ya kusameheana kwani kuwekeana kinyongo na mwisho kuona adhabu ni kunyimwa unyumba siyo sahihi.
Sikubaliani na kwenda kwenye nyumba ndogo kwa tatizo la muda ambalo mtatuzi ni wewe ni mkeo,kwani huko ni kutafuta matatizo makubwa,magonjwa,gharama zisizo na tija kwako,na kupoteza upendo,uaminifu,amani ndani ya ndoa yako
Duh!Sasa mpaka kazini anaenda na wewe?Nwy sikiliza argument yake kuhusu hao marafiki asiowataka..japo sio sahihi kumcotroll mwenzako hivyo inawezekana akawa na sababu za msingi.Hata hivyo nyumba ndogo sio suluhisho bali ni tatizo juu ya tatiz😵ngeeni myamalize kiutu uzima.Acheni kukomoana..ndoa sio mashindano.tatizo ni pale mke anakuchagulia marafiki anataka kukutawala ukimdhibiti kwa hilo anakunyima unyumba.
lazima hua kunakua na sababu sio hvhv tu cha muhimu ni kuwekana sawa then mnagonga mambo
Wanajamii mimi naomba kuuliza kwenye ndoa kama kuna mgogoro mama kumnyima baba tendo la ndoa ni sahihi au ndio kubomoa zaidi?mimi nadhani hapo tunakaribisha nyumba ndogo au?au hapo baba atajirekebisha baada ya kunyimwa tendo la ndoa?naomba ushauri wa kina wanajamii
Wengine wanachukulia yanayosemwa hapa siriaz...usimpotoshe mwenzako kiasi hicho!Hakuna raha kama kunyimwa kikojoleo na mai waifu wangu...........Sababu tosha kabisa ya kumtafuta Josefina aiburudishe nafsi yangu.
<br />Wengine wanachukulia yanayosemwa hapa siriaz...usimpotoshe mwenzako kiasi hicho!
Najisikia kuchangia changia hii thread...
Hakuna raha kama kunyimwa kikojoleo na mai waifu wangu...........Sababu tosha kabisa ya kumtafuta Josefina aiburudishe nafsi yangu.
utakuwa ulishamnyima mtu kikojoleo...ndoa yako ina muda gani?
<br />
<br />
ha ha ha haaaa ntaufanyia kazi ushauri wa babu.. Lolz
Wengine wanachukulia yanayosemwa hapa siriaz...usimpotoshe mwenzako kiasi hicho!
Kwasababu tu wao wako huko haina maana wawavute wasiokuwepo.Hilo tatizo linajulikana..na kama mtu atacheat afanye kwa sababu binafsi sio kwa ushawishi wa wanaume wengine!Lakini lizzy mi naamini wanaume wengi huwa wanakimbilia huko, sasa wanawake wanatakiwa wajue hili linaweza kutokea ingawa inaweza kuwa ni upotoshaji lakini inatokea katika jamii yetu