Kwa walio na uzoefu wa biashara za kupeleka Msumbiji, nawaomba wanisaidie ushauri na ujuzi

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Mimi ni mfanya biashara za spea za magari used dareslam, spea huwa nachukulia Dubai nå Japani, nataka kuomba Mungu kupeleka spea zangu Msubiji kwani huko nasikia kuna biashara uzuri tu, lakini nategemea nipeleke kwa ajili ya kuuza kwa jumla tu niwauzie wenye maduka.

Kwani sina muda wa kukaa huko Msumbiji kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana nå shuhuli zangu hapa Dareslam, nataka nijuwe je huko Msumbiji biashara ya spea za gari zinaendaje? Je soko lake likoje? changamoto za biashara msumbiji zipoje?

Ukitaka kutoa ushauri jaribu kuzungumza ili tunufaike sote jukwaani sio kuanza mara pm mara nini, kwa maelezo zaidi nipigie 0657617671 au 0773617671.

Sina ulazima wakupeleka Msumbiji hata wa mikoani kama wanataka mzigo wa jumla nitawapelekea mpaka mkoa husika.

Ahsanteni
 
Naona ww ndio umeazisha Private kwani usingetaka mambo ya Private hata namba za simu usingeweka!Any way ss wateja wa reja reja ngoja tukae pembeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…