Kwa walio SAUT mwanza nina Swali...

Kwa walio SAUT mwanza nina Swali...

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Hivi hii inshu ya remedial couse {samahani kwa spelling, am only human} imekaaje..? Nafahamu wanaitaji principal pass mbili lakini sina uelewa mkubwa wa mambo mengine kama inaanza lini, fee, wanaitaji nini? Process gani zinatmika kujiunga? Ni kwa muda gani?
#naamini chochote utakachonambia kitakuwa na msaada kwangu, SHUKRANI#
 
Hivi saut wanamaliza pepa lini? I mean second semisters examz?
 
Binafsi niliaply na nimepata tunatakiwa kuriport tarehe 6/7, na masomo yanaanza tarehe 9/7. Ada ni laki tatu na tisini, hostel elfu sabini kwa miezi yote mitatu na chakula ni kujitegemea. Form zake niliprint nikaambatanisha na cheti cha kuzaliwa, cheti cha form four na result slip ya form six pia original slip ya bank unayolipia form sh 20000 na pia unajaza medical form unaiprit hapo hapo kisha unatuma na pasport size mbili. Japo selection zimetoka jaribu kuuliza kwa no zao za simu hope unaweza kupata. Wapigie no yao ni 028 255 2725
 
Back
Top Bottom