Kwa waliochaguliwa au kuwahi kusomea MAKITA HIGH SCHOOL.

muxin

Senior Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
175
Reaction score
61
Please naomba kwa yeyote aliewahi au kugraduate makita high school kuhusu mahitaj ya shule kwa wanaoanza F5, au mwenye joining instruction anipm.
 
nina namba za walimu wa pale kama vp nipm nikupe namba unipgie
 
ok!
ngoja nifanye hvyo,ntashkuru sn mkuu!
 
Mnichek mim niwape data zote iko kwe2 huku
 
jaman nmechaguliwa second selection shule ya makita naomben msaada km ntaweza kupata mawasiliano au data za hiyo shule naomba tuwasiliane 0654232423
 
Karibuni kwenye baridi, na kitimoto cha kumwaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…