kwa waliochaguliwa engineering SUA

kwa waliochaguliwa engineering SUA

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
kwa wale wote mliochaguliwa engineering sua,...mnatakiwa mkifika mzingatie sana kusoma kwani matokeo ya semista ya 2, yametoka watu wamedisco balaaa....madogo mje kusoma .....prof. mpanduji, prof.mulengera,...Dr. banda na wengineo wasiwakamate........karibuni sua..... a centre of excellence
 
pamoja xana baro, hv upo coz gan maana unaonekana ku2jali xana. Nashukuru
 
pamoko guys mi mwenyewe nimechaguliwa sua bachelor of science education geography&mathematics,so we gonna meet thr
 
thanks alot mkuu...kwenye mlima ndo kwenye mteremko..naiman huo ni mlima tu ila kuna mteremko baada ya hapo,juhud zetu na zenu na za wengine ndo kitu cha mwimu katika kuupanda mlima huu!!! THANKS ONCE AGAIN..TUTAMIT NAIMAN!!!
 
kwa wale wote mliochaguliwa engineering sua,...mnatakiwa mkifika mzingatie sana kusoma kwani matokeo ya semista ya 2, yametoka watu wamedisco balaaa....madogo mje kusoma .....prof. mpanduji, prof.mulengera,...Dr. banda na wengineo wasiwakamate........karibuni sua..... a centre of excellence
aise mkaka embu maelezo kidogo hapa..
kwenye maelezo yao wanasema ela ya hostel(ni 78000 kama sikosei) tuwasiliane nao ndo tulipie benk.. kwan ni lazima tulipe sasa hivi au ni mpaka tufike chuo(mda wa kwenda chuo) chuo?? na mda wa kuwasili chuo walivyosema ni tarehe 8/10 na ndo siku hiyohiyo orientation inaanza,sasa ukienda b4 itakuaje kwa maana nikienda tarehe 8 inamaana ntamiss part ya hiyo koz!! EMBU NAOMBA MAWAZO YAKO MKUU!!!
 
la mcngi xana hli.
 
Ukimaliza registration utaonyeshwa ilipo ofisi inayohusika na mambo ya hostel na watakudirect benki. msiwaze sana cha msingi uwe na pesa yk tu. Karibun SUA
 
.................
 
welcome guys sua ni nzuri tuko pamoja vp lakini how is the preparation? karibuni sana msiogope
 
Hii course ilikuwa inafundishwa Dar na SUA. Ikaonekana kulikuwa na tatizo kubwa la wanafunzi kuweza kutoka Dar kwenda SUA kwa kudisco. Sasa hata huko SUA kuadhibiana kunaendelea? Very ideal for Kilimo kwanza...
 
Back
Top Bottom