Hongereni kwa wale mliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Usafirishaji (NIT). Kwa waliopangiwa kuja kusomea degree, ktk suala la malazi inabidi mfaham hostel za chuo huwa wanapewa kipaumbele wanafunzi wa ngazi ya cheti na diploma. Hivyo wanaochukua degree inabidi watafute malazi nje ya chuo.
Kuna hostel mpya imeanzishwa maeneo ya mabibo Sahara, sio mbali sana na chuo. Ni ya kisasa, ina vyumba vikubwa, mazingira mazuri ya kujisomea na kufanya discussions, vitanda na magodoro utavikuta. Maji na umeme sio tatizo kabisa.
Bei ni Tsh 50,000/= kwa mwezi na wanapenda mwanafunzi alipe ya semester nzima (miezi 4).
Kwa mawasiliano zaidi,
0719 841180 au 0659 690970.