Babia Ndonga Shokoloo
Member
- Mar 6, 2017
- 33
- 135
Bro si ununue tu King'amuziKwa nini unaenda Kilosa?
Nimepangiwa kazi huko ya ualimu zilizotoka mwezi wa tanoKwa nini unaenda Kilosa?
Nakusihi usije jihusisha kimapenzi na wanafunzi utafungwa 30 years.Nimepangiwa kazi huko ya ualimu zilizotoka mwezi wa tano
Kama shida sio hela tufanye exchange nikupe cha ungoHabari wapendwa. Ninauza king'amuzi cha star times cha chuma cha Antenna kwa bei ya Tsh 45,000/=. Sababu ya kuuza ni kuwa ninahama Dar naelekea Kilosa huko antenna hazishiki. Kina channeli za bure nyingi tu kama ITV, Star Tv, Tbc1, channel ten, EATV, Tumaini TV, WRM, n.k
Tayari nilishachukua Azam baada ya kufika na kuona opportunity ya kuonyesha mipiraKama shida sio hela tufanye exchange nikupe cha ungo
Mkoani hautumi?Habari wapendwa. Ninauza king'amuzi cha star times cha chuma cha Antenna kwa bei ya Tsh 45,000/=. Sababu ya kuuza ni kuwa ninahama Dar naelekea Kilosa huko antenna hazishiki. Kina channeli za bure nyingi tu kama ITV, Star Tv, Tbc1, channel ten, EATV, Tumaini TV, WRM, n.k