Kwa waliokosa chuo cha Afya

Kwa waliokosa chuo cha Afya

Nakwetu

Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
72
Reaction score
11
Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa maelezo zaidi
 
Mleta thread, andika hapa kwa ufupi, kozi zinzotolewa na hiki chuo, muda wa kozi etc.
 
Back
Top Bottom