N Nakwetu Member Joined Apr 27, 2009 Posts 72 Reaction score 11 Nov 5, 2012 #1 Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa maelezo zaidi
Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa maelezo zaidi
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 Nov 6, 2012 #2 Mleta thread, andika hapa kwa ufupi, kozi zinzotolewa na hiki chuo, muda wa kozi etc.