Kwa waliokosa Mikopo Heslb

Kwa waliokosa Mikopo Heslb

Joined
Apr 28, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Polen sana ndg zangu kwa mliokosa mikopo,lkn nataka kuwaambia kwamba kamwe msikate tamaa kuna altenative nyingi;
kwanza,unaweza kutafuta taasisi zingine za serikali au binafsi na kuomba wakudhamin kukusomesha,
Pili,unaweza ukakata rufaa mara tu baada ya kuripoti chuon,au ukasoma mwaka wa kwanza hvyohvyo ukajaomba kwa mwaka wa pili na kuendelea!
Lkn pia unaweza ahirisha mwaka na kuomba upya mwakan kwa coz zenye priority na ukapata!
Wapo wengi waliotumia njia hzo na sasa wapo chuo kikuu km kawa na wanaramba boom.
Uckate tamaa ukataman hata kunywa sumu,MUNGU yu pamoja nawe pambana hadi mwisho!
 
thats nice ila kuna watu wako makini sana kwa kuwakatisha wenzaao tamaa kwa kweli ! eti hautopata hata ukikata rufaa
 
Back
Top Bottom