kwa waliokosa mkopo vyuo vikuu haya yanawahusu

Joined
Mar 1, 2014
Posts
40
Reaction score
9
ndugu zangu nliokosa mkopo kutoka serikalin poleni kwa yanayowasibu maana natambua sio wote weny uwezo wa kujilipia ada, malazi na matumizi mengne...
ushauri- msikate tamaa jitahidin ku appeal na pia ku apply upya nina ushahid kibao kwa watu walio appeal na ku apply upya wakapata zaid ya wanafunz 100 kutoka ardhi university na zaid ya 150 kutoka Udsm..so pls take it sereously.
 
yataka moyo
 
hivi tulio appeal mwaka jana (2013/14) results vip au ndo tumeshazimwa???
 
Mungu atusaidie coz maisha ya chuo bila loan ni magum mno smtm unawaza ata uairishe mwaka.
 
Back
Top Bottom