Kwa waliokosa mlopo heslb 13/14

Kwa waliokosa mlopo heslb 13/14

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
Habari wadogo zangu kwnza polen kwa msiba, hivi mmeishia wapi katika harakat zenu za kudai haki zenu ikizngatia luna ambao walikuwa na vigezo vyote vya kupata,kuna mbinu moja hiv nataka niwape mtanikumbuka nawaambia .karibun sana
 
okey how do we get u?
na hiyo first round for freshers means resh from xul au?
 
ndo nataka nijue mmeishia wap kwnza


Tumeenda heslb hatukufanikiwa,tukaenda kwa maziri wa elimu hatukufanikiwa,tukaenda kwa mkuu wa mawaziri hatukufanikiwa,sasa tunataka kwenda kwa baba Ridhi1....
Hapa ndipo tulipoidhia,tupe mbinu mkuu...
 
jaman 36b zmetengwa xaxa km hujawa marked na k2 cha incomplete unaweza ukapata and try to check b'coz guys leo weng weng wamepata na 2mor watatoa statement
 
jaman 36b zmetengwa xaxa km hujawa marked na k2 cha incomplete unaweza ukapata and try to check b'coz guys leo weng weng wamepata na 2mor watatoa statement

Ina maana hata cc wa diploma-prority courses tulioandikiwa completed form six/diploma more than three years back tunaweza pata huo mkopo au imekula kwetu kijana??
 
Back
Top Bottom