Kwa waliokosa nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2014 ,serikali inawaita huku.

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
2,072
Reaction score
5,053
Baada ya kuwepo kwa sitokujua nyingi kwa baadhi ya wazazi na wanafunzi juu ya wale waliokosa nafasi za kujiunga na mafunzo ya kidato cha tano serikali imeamua kuwaita kwa kutumia njia hii ...
Ualimu+Advanced level.
Bofya hapo kujua zaid.TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
 
Hapo ni njia ya mkato unaachana na ualimu.
Kwa maana utakua umefanya mtihani wa form six.
Utaweza kwenda chuo kikuu
 
Last edited by a moderator:
System ni nzuri ila hao watakaosom hata kama watafaulu wataekewa E ili wabakie kwenye ualimu,itakuwa ngumu kujiendeleza
 
snipa
MWANANGU KUA UYAONE


Kaparo nilichowaelewa ni kama wanataka kuforce watu wawe walimu hivi !

Mana akimaliza VI anaendelea na ualimu !

Mi naona mpaka aibu kusema mimi ni Mtanzania
 
Last edited by a moderator:
kama zamani tu,waliofeli ndo wanakwenda ualimu
 
Kaparo nilichowaelewa ni kama wanataka kuforce watu wawe walimu hivi !

Mana akimaliza VI anaendelea na ualimu !

Mi naona mpaka aibu kusema mimi ni Mtanzania

mimi naona hawaja force kitu kulingana na kua na malalamiko mengi kwa waliokosa kundelea.hiyo ndo itakua nafasi yao sasa
 
Wazo zuri madogo changamkieni fursa hiyo.
 
Baraza nao wanajua kwamba kuna watu mtahitaji kuchepuka mkimalza six haitakuwa simple hivyo i thnk urahis wa hapo ni kwamba utamalza na ualimu then huko mbeleni unaweza badili fani since unavyeti vyenye ufaulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…