Kwa waliokuwa macho usiku huu tuma salaam kwa watu tank(5)

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Oi kwa wale popo wazee wa kukesha tuna salaam kwa uwependao au hates. Mwisho watu watano(5).

-Natuma salaam kwa Bibi yangu mpendwa nimekumisi sana bibi nikija nakuletea ugoro
-Natuma salaam kwa ma Ex girls wangu wote nashukuru kwa mapenzi yenu
-Natuma salaam kwa mh Rais Mkapa
-Natuma salaam kwa waziri Mizengo Pinda
-Natuma salaam kwa Mama yangu kipenzi.
Karibuni~
 
Natuma salamu kwa
1. Andrew Chenge
2. Daniel Yona
3. Nazir Karamagi
4,(Lazaro Nyalandu)
5.(Basil Mramba)
UJUMBE
Shamba la bibi limeota nyasi zenye upupu...
Haaaahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Natuma salamu kwa 1.wavuvi na wakokozi wote kule lake victoria

2.salamu kwa mabasi yote yaendayo mikoani yakianzia nyegez au buzuruga mza

3.salamu kwa mitumbwi,vivuko,meli zote zikianzia kamanga,kirumba au usagara

4.salamu kwa wote waishio milimani mwanza
5. Salamu kwa daladala zootee jijini mwanza
 
Natuma salamu kwa
1. Andrew Chenge
2. Daniel Yona
3. Nazir Karamagi
4,(Lazaro Nyalandu)
5.(Basil Mramba)
UJUMBE
Shamba la bibi limeota nyasi zenye upupu...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ebu ngoja nikae hapa nisikilize kipindi cha tuma salam....[emoji5] [emoji5]
 
Salaam kwenu Akacia...tsup tsup, hope yoh havn lot of Fun, RIGHT.?? sleep tight Real Akacia hommies a.k.a Gold diggers
 
 
shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…