Utakuta caretakers wa hiyo family yote ni huyo kokoo na huyo maza. Sasa hayo majukumu yanahamia kwako. Hapo unayo timu ya mpira na reserve.
Kazi kwako.
Wewe ni yupi hapo, na mchumba wako ni yupi hapo? na mbona sioni wazee akina mama na baba waliopokea wageni? yaani hao watoto na bibi ndio walipokea mchumba? Anyway, ni siku ya furaha saana kwa wahusika na wazazi