Kwa waliondoa Catalytic converter kwenye magari yako

Kwa waliondoa Catalytic converter kwenye magari yako

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Ni ule ungaunga wa kwenye exhaust pipes.. Mnapata changamoto gani? Ni sababu zipi zilifanya ukatoa kwenye garu yako.

Yangu nilitoa kutokana na gari kukosa nguvu na ilionekana iliziba due to plus zilikua hazichomi vizuri so mafuta mafuta yakafanya izibe.
 
1. Sound inaongezeka kidogo ya muungurumo wa gari
2. Unachafua mazingura kwa kuemitt carbon monoxide ambayo ni sumu kwa binadamu
3. Nguvu ya gari inaongezeka kiasi
 
1. Sound inaongezeka kidogo ya muungurumo wa gari
2. Unachafua mazingura kwa kuemitt carbon monoxide ambayo ni sumu kwa binadamu
3. Nguvu ya gari inaongezeka kiasi

Pia matumizi ya mafuta yanaongezeka
 
I wonder,haya majibu yanayotolewa yanatokana na research au ndiyo mambo yetu ya ufundi mangungo?Aliyeweka alikusudia huo unga ufanye kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom