Ni ule ungaunga wa kwenye exhaust pipes
1. Sound inaongezeka kidogo ya muungurumo wa gari
2. Unachafua mazingura kwa kuemitt carbon monoxide ambayo ni sumu kwa binadamu
3. Nguvu ya gari inaongezeka kiasi
Akikujibu naomba unitagUpo sehemu gani ya exhaust pipe
Really?Nguvu ya gari inaongezeka kiasi
Yaaah...gari inapumua vizuri...na mdau aeongeza hapo kuwa matumiz ya wese yanaongezeka kidogoReally?
Sababu mbona zimewekwa wazi mkuu.. Na si kila gari ina huo unga..I wonder,haya majibu yanayotolewa yanatokana na research au ndiyo mambo yetu ya ufundi mangungo?Aliyeweka alikusudia huo unga ufanye kazi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app