kwa waliooa/kuolewa tu! hivi nani anakuwa mchokozi?

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
HABARI ZA JIONI NDUGU ZANGU?
Wale walioguswa na mgomo wa madaktari poleni sana.

jamani hivi mnapokuwa chumbani na mke/mume wako na mnataka mfanya mambo yetu ni nani huwa anaanza kumchokoza/kumwwambia mwenzake kuwa anamuhitaji? je, ikitokea umemwambia au kumchokoza halafu haelekei kukubali unafanyaje?
kwa ufupi unaanzaanza vipi hadi ujue mwenzako anauhitaji kama wewe ili muwe compatible.
 
Hebu tupe uzoefu wako mkuu
nani ni nani kwa upande wako wewe
 
...mm huwa namtumia sms tangu nikiwa kazini...."chezo leo".
 
NI hatua ndefu sana na wala sio haya mapenzi ya jogoo unaenda chumbani au kitandani unamwambia mwenzako leo mambo yako poa
Somtime inatokea ila sio always bana
mapenzi ni maandalizi na inaweza kuanzia hata asubuhi wakati mnaagana au mchana ukamusms kumwambia au wakati umerudi anapika au anafanya shughuli zake unamwambia
Nahofia kuongea zaidi maana inaweza kupelekwa jukwaa maaarufu lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…