Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
kwa kweliKila mtu azungumze ndoa yake
Sio generalisation
anayejitambua tu! Ukiwa na mwanamke mpumbavu michepuko haikwepeki 😂ndio, ndoa bila michepuko inawezekana.
,kuchepuka kunategemea structure ya ndoa, kuna ke wanajielewa ndoani hadi kuchepuka unahisi ni upumbavu ulovuka mipaka
kabisaEsp. ukiwa na mke
anayejitambua tu! Ukiwa na mwanamke mpumbavu michepuko haikwepeki 😂
e bwana eeee[emoji3][emoji3][emoji3] subiri 40 zakoMchepuko una raha yake!!!
Haswa Mchepuko uwe kabinti kadogo kanachomuheshimu wife
Au awe na yeye yupo kwenye ndoa yaani mke wa mtu... Wewe utajilamba vidole