dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Ile ni shughuli kama zingine...Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
sio hawapendi bali wameizoea na kuona ni kitu cha kawaida tofauti yake na kabla ya kuolewa ni kwamba mnafanya mara chache na kwa wizi wizi hivyo mtu anakuwa na hamu kwa kuwa demand ni kubwa supply ni ndogo lakini supply inapokua kubwa unaona kawaida tu kila ukitaka unapataKuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
napita tuu..:car:
sio hawapendi bali wameizoea na kuona ni kitu cha kawaida tofauti yake na kabla ya kuolewa ni kwamba mnafanya mara chache na kwa wizi wizi hivyo mtu anakuwa na hamu kwa kuwa demand ni kubwa supply ni ndogo lakini supply inapokua kubwa unaona kawaida tu kila ukitaka unapata
napita tuu..:car:
Si kweli wanandoa wanahamu sana tena kama mmekutana watundu kwenye majamboz ukiwa kazini unatamani muda uishe fasta urudi nyumba usiku uingie muingie uwanjani muanze libeneke
piga thanks basi mtu wanguNimekupa mzee ceter per bus!!!
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
Majukumu yanakuwa mengi baada ya ndoa ndio maana unaweza kukuta tendo la ndoa halifanikiwi sana baada ya ndoa tofauti na kabla,ndoa ni majukumu hivyo huwa si rahisi kwa wanandoa kuendekeza sana tendo na badala yake hujikita zaidi kwenye kujenga familia.