Kata ipi mkuu? Kama wakipandika tujuze nasi tujaribu kwenda sijui huku moshi wanabandika lini
da kweli ajira ni ngumu, sometimes naamini hata degree yangu haina maana sasa, yaani nashindanishwa na mtu wa form four ananizidi sifa duuuuh, i cant believe....nilikuwa nasikia ajira ngumu kumbe ni kweli, c mchezo. hata huyo form six aliyepata nikimshindanisha na cheti changu cha form 6 naamini haoni ndani
kwan best ulikua hujui? Uliomba na wewe? Jina limetoka? Tuko pamoja.
Mkuu we uko kata gan hapa moshi?Mi nilikuwa mitaa ya majengo ila hawajabandika majina.
Hv hii kitu nayo ina usaili? Nimepata sms niende kwe interview ya sensa
Mimi niko moshi vijijini mkuu wangu kata ya kirima bora wewe wa mjini sisi wa kijijini sijui watabandika lini
Napochoka mimi jamani, usaili wa nini tena jaman, mweeh!
Kuna watu ambao hawakwalifyi wameomba so wanachuja, mbal na hapo idadi ya waombaj ni kubwa kulinganisha na idad ya nafasi so wanataka wachukue the best
mwe! Mbona kidogo sana!
Nimepokea sms,ikinitaka kesho kufika ofisi za kata kwa ajili ya usaili.ivi kumbe napo kuna usaili tena?maana me nilitest ka zali tu,hata kugongewa mhuri wa afisa mtendaji ckugongewa lakin nashangaa wameniita.