Leo nimekumbuka mbali sana baada ya kuiona picha yangu nikiwa Bagamoyo Sec School 1996-1999.Nimekumbuka mengi sana moja wapo ni ubabe wa Peter Naali.Ningependa tusitajane majina,ila mmoja wetu sasa hivi ni mbunge Mh Joshua Nasari nilimpokea kama akiwa form one 1998.Kwa waliopitia miaka ya 1996 mpaka 2002 tiririka hapa unakumbuka nini.Karibuni wana bagamoyo............