Kwa waliopitia bagamoyo sec school 1994 - 2002

PWERU

Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
77
Reaction score
15
Leo nimekumbuka mbali sana baada ya kuiona picha yangu nikiwa Bagamoyo Sec School 1996-1999.Nimekumbuka mengi sana moja wapo ni ubabe wa Peter Naali.Ningependa tusitajane majina,ila mmoja wetu sasa hivi ni mbunge Mh Joshua Nasari nilimpokea kama akiwa form one 1998.Kwa waliopitia miaka ya 1996 mpaka 2002 tiririka hapa unakumbuka nini.Karibuni wana bagamoyo............
 
Umekosea mkuu, sidhani kama ni mwaka 1998 nassari alikuwa f. 1 bss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…