Wanabodi hasa mliopitia FTC
Nina mdogo wangu ambaye alihitimu FTC pale DIT course ya highway engineering na akapata B moja, C tatu, D moja na F moja, ni muda kitambo tangu ahitimu na alishindwa kusuppliment kutokana kupitiliza muda wa miaka 3 iliyokuwa inaruhusiwa kipindi hicho. Hiyo B ni ya mathematics. Nifanyeje ili aedelee na degree au advanced/higher diploma? Naombeni Michongo yenu wapendwa.