Kwa waliopo Dodoma; Nahitaji fundi nguo

Jessy Joseph

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
55
Reaction score
26
Habari za siku wapendwa.. Nna shida na fundi nguo, awe anajua kushona mishono yote pia aweze kunichagulia mshono kulingana na umbo langu, asiwe na bei... Mwenye fundi anaemfahamu anielekeze plz
 
Minifundi lakini nipo ushimbo, ila naweza nikahamia dodoma ili nikuje kua fundi wako....[emoji5] [emoji5]
Alafu......
Hivi hiyo avatar ni wewe.....[emoji39] [emoji39]
 
Unajua mishono ya vitenge
Naijua sana mishono ya hilo umbo lako hapo kama linavyo onekana.
Na hivyo vitenge mimi ndo daktari wa kuvikata wakati wa kutawanya.
Sasa.......
Ebu njoo pm kwanza, maana hapa naona mafundi wengi wanawivu na hawachelewagi kuharibu chance chache kama hizi zinazo tudondokea wenye bahati zetu....[emoji39] [emoji39]
 
Ngoja waje wana dodoma
Tayari tumesha kaba hadi sisi wa ushirombo, hatuoni tabu kufunga safari panapo jitokeza bahati mujarab kama hizi....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kamuone fundi anaitwa rasi. Yupo soko la majengo anashona nguo haifaiiiiii
 
Kuna fundi anaitwa Ally yupo barabara ya 8, pembeni ya nansio butcher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…