Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Kuna jamaa kanipigia simu asubuhi,na kunambia eti serikali imetangaza kuwa kwa walimu wanaosubiri ajira mpya inawapasa kuomba kwa kuandika barua-zoezi hili huanza sasa! Eti ni kweli wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je alipo kupigia simu haukumtakisha maelezo ?Kuna jamaa kanipigia simu asubuhi,na kunambia eti serikali imetangaza kuwa kwa walimu wanaosubiri ajira mpya inawapasa kuomba kwa kuandika barua-zoezi hili huanza sasa! Eti ni kweli wakuu?