Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Je alipo kupigia simu haukumtakisha maelezo ?Kuna jamaa kanipigia simu asubuhi,na kunambia eti serikali imetangaza kuwa kwa walimu wanaosubiri ajira mpya inawapasa kuomba kwa kuandika barua-zoezi hili huanza sasa! Eti ni kweli wakuu?