kwa waliosoma accounting udsm.

kwa waliosoma accounting udsm.

Joined
Sep 9, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Tafadhar jaman nlikuwa naomba kujua kuhusu hii course ya intermediate accounting ipoje na ugumu wake pia na nifanye strategies gan kuhakikisha nafaulu vzur hii course. Asanten
 
Taja jinsia yako kwanza kwa sababu kama ni Me huna alternative ya kufaulu zaidi ya kusoma sana na wala usingeuliza swali kama hili coz it is very obvious kwamba lazma ukomae, ila kama ni Ke unaweza kuwa na alternative nyingine.
 
Inaonekana siku hizi vijana hamna kusocialize kabisa
mtu akiwa na simu kila kitu analeta huku ... problems nyingine unaweza kusaidiana na wanafunzi wenzio
we ushaona mtu wa PhD au Msc anakuja hapa na maswali kama hayo?
Learn to socialize bila mobile handset yako kwanza
achana na FB,TWTR na JF
 
Back
Top Bottom