Ile shule imesajiliwa mwaka 1921 na kupewa kibali cha miaka 35. (expire date of land certificate) wakati huo ikiwa chini ya wahindi. Waka renew tena mpaka mwaka 1976 baada ya kuexpire kibali cha mwanzo. Wakarenew tena kwa miaka 16. Baada ya hapo hawajarenew tena kwahiyo mpaka sasa haijulikani mmiliki ni nani. Inshort mpaka sasa shule iko chini ya Rais kwani ardhi haijamilikishwa kwa mtu. Huo ndio usajili unaozungumziwa hapo.
duh..kweli kuna watu wasanii sana
wanafunzi wenyewe walituma meseji kwa Rc na RC alifika pale bila taarifa.Kigala ful kujiuma uma.
mfarisayo we ni m'binafsi kama KIGALA
Naombeni historia ya hii shule make nasikia inasiku nyingi sasa iweje ifungiwe leo?.Nasikia kuna ufisadi unataka kufanyika pale.Je,Tanzania nzima wameona Central tu?.Mbona kuna shule zaidi ya 3 ninazozifahamu za private zipo kama Central lakini hawajazifungia?.Je,wamewaandalia mazingira gani wanafunzi waliokua wanasoma pale?.Adhabu hii ni kwa mwenye shule au wazaz na wanafunzi waliokua wanasoma pale?.
Hapo kuna mkono wa Kigogo si bure!!!
Nawapeni pole sana wadau wote ambao jambo hili linawagusa moja kwa moja,inasikitisha lakini serikili ikikugeuka ni afadhali ya Jambazi na mateka.
Ila jipeni moyo matatizo yenu yatafika kikomo.