kwa waliosoma finance management, naomba mnisaidie swali hilo

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
  1. How much would you be willing to part with today in return for 1,000 shillings to be received at the end of a five year period from now and become neither better off nor worse off, given that the interest rate is expected to stand at 8 percent compounded;
(i) Annually;
(ii) semi-annually;
(iii) monthly; and
(iv) continuously.
 
we mbona wa ajabu hivyo acha uvivu nenda kasome vitabu ni aibu uliza swali kama hilo kwa mwanfunzi wa chuo unakidhariridha chuo chako dogo nenda kachimbe swali jeupe hilooo
 
Hebu acha uzembe,gugo maswal ya time series na majb yake utaelewa na utapata mawazo mengne.
 
mhh unamshauri agoogle mbona me sion kama kuna ugumu kwenye hilo swali huyo ni mzembe asikilizi hata walimu wake darasan
 
daaaaaaaaah!,astakafyulilah!,chuo chenu kina walimu kweli?
 
jamani, mi nasoma open university, i thnk mnajua kule msuli ni wakujitegemea, so nimekutana na swali hilo naomba mnisaidie, kama tungekuwa na mwalimu hapo sawa
 
Annuity hiyo dogo,
Nenda CBE kaulizie kitabu cha KIPUTIPUTI #4
 

Kazi kwako!!
M = P( 1 + i )[SUP]n[/SUP]
M is the final amount including the principal.
P is the principal amount.
i is the rate of interest per year.
n is the number of years invested.
 
Kazi kwako!!
M = P( 1 + i )[SUP]n[/SUP]
M is the final amount including the principal.
P is the principal amount.
i is the rate of interest per year.
n is the number of years invested.

vp kuhusu (iv)
 
Akienda kujichimbia facebook na tamthiliya za kiphilipino ataangalia saa ngapi?
 
jamani, mi nasoma open university, i thnk mnajua kule msuli ni wakujitegemea, so nimekutana na swali hilo naomba mnisaidie, kama tungekuwa na mwalimu hapo sawa

m mwenyewe nipo Open unvrsity nasoma pia hyo cozi, hlo ni swal jepesi tafta group discussn utajua mengi zaid ya hlo swali, open rahic ukijituma mkuu
 
m mwenyewe nipo Open unvrsity nasoma pia hyo cozi, hlo ni swal jepesi tafta group discussn utajua mengi zaid ya hlo swali, open rahic ukijituma mkuu

nilikuwa natafuta watu kama wewe, uko mwaka wa ngapi mkuu??? na uko mkoa gani
 
Mijianafunzi ya siku hz mivivu kweli kwa wale waliosoma IAA watakuwa wanakumbuka mziki wa kasika kwenye FM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…