Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

tansoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,209
Reaction score
580
Napenda kukumbushana na wana jf kwa wale walopita kigonsera nini unacho kimisi walimu gani unao wakumbukaa Nikianza na mm nilikua pale 1991/1994 Twiga house. Nammiss sana Papalika Mlasu Mbonde
 
ile ilikuwa zaidi ya shulee,,nilikuwa pale 2000 mpka 2002,,shelimoooo ni nyokoooooooooooo
 
Barugu, nguru, mgimba, kajange, mwakalukila....nyerere, halale, nubi, twiga,tembo,kifaru,...
 
mimi 2008-2010, nilikua chui barugu alikua bingwa wangu wa kiswahili, namis kioda, minazi, mademu wa taasisi na kiamili, outing day + mipombe ya kienyeji, ilikua noma sana.
 
Nyie wote vijana
Mm nilikua pale enzi ya mgohamwende
Shelimo alikuja nikiwa form three

Na miss maisha yale sanaaa
 
mwaka 2002-2005 wazee wa vidole kwenye uji,miss simba room six
 
Napenda kukumbushana na wana jf kwa wale walopita kigonsera nini unacho kimisi walimu gani unao wakumbukaa Nikianza na mm nilikua pale 1991/1994 Twiga house. Nammiss sana Papalika Mlasu Mbonde

Shule za mchangani hizi
 
ODILI SAMALU unazijua shule za mchangani? Tafuta historia ya shule kongwe then urudi na comment zako!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi nilikuwa jirani yenu pale Likonde Seminary 1998-2000,nakumbuka mechi za mpira wa miguu kigonsera na likonde seminary ilikuwa si mchezo.
 
ooooh kigo wapi ntangu a.k.a lobot,mashine,shanti,
wapi sir mgimba
wapi mwasenga
mbepera
mwakalukia
madam nzirano
madam kiwope

wazee wa minazi,harare mkurusi na mchumba mpooo
 
Wapi kitai,ngembambili,mkako lipumba hata mkapa aje hapa atuambie alikuwa bweni lipi?
 
mkuu nyie ndo mliobaki kumi tu,,,nakumbuka nilipangwa table moja na nyie wakati nipo form two
 
Back
Top Bottom