Je unamkumbuka Mr mbao,unakumbuka makanyagio
Hiyo avata ni wewe?Sana
Dah nimechekaMkuu inaelekea wewe ulikuwa rada.Kazi yako kuu ilikuwa kukandika majina ya wanaoenda Makanyagio kwa Mzee Chua na Ilala kwa Nelkon (R.I.P). Bado unamkumbuka Mbao na Tende? Hujamkumbuka Mgimwa mwajiri wako?
Zimebakia kumbukumbu tu aisee. Mkwawa the complexJe unamkumbuka Mr mbao,unakumbuka makanyagio