Kwa waliosoma procurement and supply chain management au procurement and logistics.

Nicky nicky

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
106
Reaction score
9
Ninashahada ya elimu ' upper second class', malengo yangu ni kujiunga na masomo ya post graduate diploma in procurement and supply au procurement and logistics pale NIT ingawa hadi sasa sijui nisome ipi kati yaa hizo.Hivyo, naomba kufahamishwa utofauti wa kozi hizo na ipi ni bora zaidi kuliko nyingine kwani lengo langu ni kujiajili.Pia ningependa kupata ushauli zaidi.Nawasilisha.
 
Hyo kozi ni ngumu sana kupata kazi.ucpoteze muda wako.over
 
Tofauti ni kwamba logistics ipo ndani ya supply chain management,so ukisoma procurement and supply chain management unakuwa na wigo mpana zaidi kuliko procurement and logistics
 

Nenda NIT kasome Logistics and Transport management itakusaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…