Kwa waliosoma Shule za Boys na Girls ......Je ulifanya haya.....................

Kwa waliosoma Shule za Boys na Girls ......Je ulifanya haya.....................

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Tukumbushane hapa,...Kwa wasichana kale ka mchezo ka kusugua.............::::::,Wavulana nao mambo ya masoap,,..,Kugombania chakula,......Na Mengine,,wewe ulifanya kautundu gani...:
 
Kinachofanya mtu asivae uniform ni nini
 
Kutokuingia class,kuoga kwa manati,kutoroka usiku bila uniform,kugonga watoto wa wapishi ndio ilikuwa michezo yangu enzi hizo
 
Dah....::kwanini boys wanakua wachafu
 
ni kweli kabisa me nimesoms boyz na najua hali ilivyo boyz wengu ni wachafu c kwasababu hawapendi usafi bali ni mazoea ,hii ni sababu ya kukosekana gilz,siku wakija girlz shuleni utaprove hilo hakuna atakayeonekana mchafu cku hyo by x-boy umbwe2012
 
Kwa shule za girls baadhi ya waschana kujifanya au kujiweka kama wavulana na hivyo ndivyo vyanzo vya usagaji mashuleni.

Kulala wawili wawili kwa kisingizio cha baridi usiku na kuogopa vibwengo.

Kutembea bila nguo bwenini au kutembea na nguo za ndani tuu mkiwa bwenini bila aibu yoyote.

Kutoka bafuni kuoga mpaka bwenini au room ukiwa bila nguo(naked) bila kuwa na aibu yoyote.

n.k n.k.
 
Top layer..::::Aaaaah umenikumbusha advance
 
duh hapo kwenye top layer ni noma aisee ..tena siye tulikua tunatumia MAWESE yaani mchuzi mwekundu usipime......
 
sio siri kuoga kwangu ilikua mbinde sana mara 2 au 3 kwa mwezi na hapo labda kue na joint mass wadada wanakuja, siku za nyama ama za wari mapemaaa mtu zimejaa DH, kali kuliko zote TV ilikua inatolewa ijumaa saa 11:30AM inarudishwa juma3 saa 12:00AM hapo mtu hazing'oki DH mtu anaingia na kidumu cha maji na bakuli yaani anakula na kusuuza chombo hapohapo milobmi3 yote, mida ya saa6 usiku J.mos na J.Pili utaona DH mtu zinajaa na Blankets mambo yetu yaleeee ya Chanel e yalikua yamepewa code name KP, kaka asigwa unakumbuka hizo??
kweli maisha yalikua poa sana miaka hiyo
Tabora Boyz 2009
 
Last edited by a moderator:

haha ha ha kaka ninga nakumbuka sana aisee hasa ile mambo yetu ya channel e ila wengine tulikua tuna machaka yetu nag'ambo bana tunaibuka night ni noma
ulicheza disko vumbi wewe??
 
Ngoja kwanza nicheke, tehe! tehe! Tehe! Nmekumbuka kupika, a.k.a ku-proces yaan harage la shule linaungwa tena, top layer, kugombania chakula kutopanga folen ya chakula, kuoga kwa ratib unless kuwe na special events si unajua barid la kibosho umbwe, kutoroka, kukimbizana na walim, kutokwenda parade, yaan so many things
 
Kwa shule za girls baadhi ya waschana kujifanya au kujiweka kama wavulana na hivyo ndivyo vyanzo vya usagaji mashuleni.

Kulala wawili wawili kwa kisingizio cha baridi usiku na kuogopa vibwengo.

Kutembea bila nguo bwenini au kutembea na nguo za ndani tuu mkiwa bwenini bila aibu yoyote.

Kutoka bafuni kuoga mpaka bwenini au room ukiwa bila nguo(naked) bila kuwa na aibu yoyote.

n.k n.k.

umenikumbusha mbali. Kwenda bafuni uchi yani nilikua naenda na sabun 2 na kopo ful kujiachia. Kuombana pedi darasani m2 anapta mbele ya darasa kuomba ped bila aibu. Mambo meng ya kitoto yan kusoma gelz ful maraha. Bt ila iliniafect coz nilikua naona aibu kupishana na wavulana had nikawa nataman kuwe na vyuo vya cngle.
 
haha ha ha kaka ninga nakumbuka sana aisee hasa ile mambo yetu ya channel e ila wengine tulikua tuna machaka yetu nag'ambo bana tunaibuka night ni noma
ulicheza disko vumbi wewe??

kule ng'ambo lile bonde la tukutuku ndo ilikua mitaa yenyewe! disco vumbi nmepiga sana ng'ambo,kariakoo,tukutuku,national hadi cheyo
 
Nilikua nazama bustanini full matunda..ndizi,mapera,machungwa embe ng'ongo madafu embe kwa wingi..wale wa namupa seminary,issue za chitumba.,nakadi,kadeshi
 
Back
Top Bottom